Cristiano Ronaldo aliyezaliwa February 5, 1985 huko Santo António jijini Lisbon Ureno. Ukiachana na uwezo wake wa kuutendea haki mchezo wa soka. Kwa sasa Ronaldo anafanya kazi na makampuni makubwa duniani kama Nike, Emporio Armani , KFC , Coca Cola na kampuni ya mafuta ya Castrol.
Makumpuni yote jumla yanamwingizia kiasi cha $28 million. Huku Nike pekee ikimwingizia kiasi cha $14.1 million, wakati kwa mwaka anatengeneza jumla ya kiasi cha $82.1 million, hivyo anakila haki ya kuongoza kwenye orodha ya wanamichezo wanaoingiza mkwanja mrefu.
Lionel Messi amezaliwa June 24, 1987 Rosario, Argentina , mkataba wake mnono ni kutoka kampuni ya vifaa vya michezo ya Adidas unamwingizi kiasi cha $13 Million kwa mwaka wakati huo akifanya kazi na makampuni ya Pepsi, Audemars, Piguet ,Dolce,Gabanna,Ea Sports,Herbalife /Turkish
Airlines, Proctor na Gamble. Makapmuni haya yanamfanya aingize kiasi cha $21.3 kwa mwaka.
Huku jumla ya mapato yake yakifikia $76.5 million kwa mwaka na kumfanya akae kwenye nafasi ya pili.
Zlatan Ibrahimovic |
Jedwali la wachezaji 10 waliovuna pesa ndefu mwaka 2015 kwa mjibu wa Forbes.
No comments:
Post a Comment