Mkataba wa Wenger unaisha mwishoni mwa msimu wa mwaka 2016-17 na amekuwa chini ya shinikizo toka kwa mashabiki kutokana na kushuhudia msimu mwingine ukipita bila kombe lolote. Mara ya mwisho Arsenal ilichukua ubingwa wa EPL mwaka 2004.
No comments:
Post a Comment