Friday 1 July 2016

Rais wa Rwanda Paul Kagame awasili Tanzania kwa ajili ya Uzinduzi wa maonesho ya Sabasaba.

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Rwanda,Paul Kagame amewasili katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere  leo na Kupokelewa na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt  Magufuli. 

Baada ya Hapo ataelekea Ikulu jijini Dar es Salaam kwaajili ya Kufanya Mazungumzo.
Baadae wataelekea katika Viwanja wa Maonesho ya Kimataifa ya Sabasaba jijini Dar es Salaam kwaajili ya Kufungua rasmi maonesho ya 40 ya Kimataifa katika viwanja vya Sabasaba  leo.

No comments:

Post a Comment