Thursday 11 August 2016

Waziri Nape Nnauye atumbua Gazeti la mseto kwa kuandika Habari hizi za uongo.

image.jpeg






























Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amelifungia gazeti la Mseto kwa miezi 36 kutokana na kuandika stori yenye nyaraka za kughushi.


Nape amelifungia gazeti hilo leo baada ya kuandika habari ya uongo kuhusu Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Edwin Ngonyani na kwamba nyaraka zilizotumiwa si za kweli.
 

image.jpeg 
image.jpeg


USISAHAU KULIKE NA KUSHARE PAGE YETU FACEBOOK TIKISA MEDIA KUTU FOLLOW TWITTER @TIKISA MEDIA NA INSTAGRAM TIKISA ENTERTAINMENT MEDIA ILI HABARI ZOTE KUBWA ZIKUFIKIE HAPA ULIPO.ASANTE

No comments:

Post a Comment