Tuesday 13 September 2016

Hii ndio Orodha ya Timu zote zilizotangazwa na TFF zakazoshiriki Ligi Daraja la Pili.

Image result for shirikisho la soka tanzania
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetoa orodha ya makundi manne na timu zitakazoshiriki Ligi Daraja la Poli ((SDL) inayotarajiwa kuanza baadaye, mwaka huu.
Kwa mujibu wa Bodi ya Ligi (TPLB), chombo maalumu cha kusimamia michezon inayoendeshwa na TFF makundi na timu hizo ni kama ifuatavyo.
Kundi A.
Bulyanhulu FC- Shinyanga
Geita Gold SC- Geita
Mashujaa FC- Kigoma
Milambo SC- Tabora
Polisi Tabora FC- Tabora
Transit Camp FC- Shinyanga

Kundi B
AFC- Arusha
Green Warriors- Dar es Salaam
JKT Oljoro- Arusha
Kitayosa- Kilimanjaro
Madini SC- Arusha
Pepsi- Arusha

Kundi C
Abajalo SC- Dar es Salaam
CDA- Dodoma
Changanyikeni- Dar es Salaam
Cosmopolitan- Dar es Salaam
Kariakoo FC- Lindi
Burkina FC- Morogoro

Kundi D
Namungo FC- Lindi
Mawenzi Market- Morogoro
Mkamba Rangers- Morogoro
Sabasaba United- Morogoro
The Mighty Elephant- Ruvuma
Wenda FC- Mbeya.

USISAHAU KULIKE NA KU-SHARE NA KU-LIKE PAGE YETU FACEBOOK TIKISA MEDIA KUFOLLOW TWITTER @TIKISA MEDIA NA INSTAGRAM TIKISA ENTERTAINMENT MEDIA ILI HABARI ZOTE KUBWA ZIKUFIKIE HAPO ULIPO.ASANTE

No comments:

Post a Comment