Thursday 3 November 2016

Mbunge wa Ulanga Mh.Mlinga amemjibu Mbowe kuhusu CCM kutumia miujiza.

Image result for Mh.Goodluck Mlinga
Mbunge wa Ulanga Mh.Mlinga amemjibu Mbowe kuwa CCM haitumii miujiza kutawala bali inatumia mpango mkakati kutekeleza ilani yake.

Vile vile ameeleza kuwa ni Mbowe ndiye mwenye kutumia miujiza kuongoza chama kwani amepata division sifuri form six lakini anatawala wafuasi wenye elimu za juu wakiwamo madaktari na maprofesa.

Tazama hapa



USISAHAU KULIKE NA KU-SHARE NA KU-LIKE PAGE YETU FACEBOOK TIKISA MEDIA KUFOLLOW TWITTER @TIKISA MEDIA NA INSTAGRAM TIKISA ENTERTAINMENT MEDIA ILI HABARI ZOTE KUBWA ZIKUFIKIE HAPO ULIPO.ASANTE

                            SUBSCRIBE ON YOUTUBE TIKISA TV

No comments:

Post a Comment