Wednesday 30 November 2016

Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba ampokea kiungo mpya wa Yanga Justice Zulu.


Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba ambaye ni shabiki wa Yanga wa, amekutana na kiungo mpya wa Yanga, Justice Zulu.

Zulu raia wa Zambia, yuko nchini tayari kumalizana na Yanga.

Mwigulu ambaye ni straika tegemeo wa Yanga katika timu ya Wabunge ameonekana akiwa picha na Zulu, nje ya hoteli aliyofikia.


Zulu anatarajia kumalizana na Yanga, leo au kesho na mara moja ataanza kazi katika harakati za kocha mpya, George Lwandamina kuandaa kikosi chake.

USISAHAU KULIKE NA KU-SHARE NA KU-LIKE PAGE YETU FACEBOOK TIKISA MEDIA KUFOLLOW TWITTER @TIKISA MEDIA NA INSTAGRAM TIKISA ENTERTAINMENT MEDIA ILI HABARI ZOTE KUBWA ZIKUFIKIE HAPO ULIPO.ASANTE



                                SUBSCRIBE ON YOUTUBE 
                                          
                                               TIKISA TV

No comments:

Post a Comment