Tuesday, 20 June 2017

Ifahamu sababu iliyomfanya Victor Wanyama kutua Tanzania.

Image result for victor wanyama spurs
Victor Wanyama yuko nchini kwa mapumziko mafupi.

Kiungo huyo wa Tottenham Hotspurs amesema atakuwa nchini kwa mapumziko mafupi akisubiri maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu Bara.

“Ni mapumziko ya muda mfupi, kabla ya kurejea kazini. Nimechagua kupumzika Tanzania,” alisema Wanyama ambaye pia ni nahodha wa Harambee Stars

No comments:

Post a Comment