Spika wa Bunge, Job Ndugai ameridhia barua ya kufukuzwa uanachama Wabunge 8 wa CUF Atangaza nafasi zao kuwa wazi na kumuachia Msajili wa vyama vya siasa kuendelea na taratibu zinazostahiki.
No comments:
Post a Comment