ALI KIBA. |
Baada ya kutoka kwa wimbo wa Fid Q wa Fresh Remix aliomshirikisha Diamond Platnamz na RayVanny Uhasama kati ya Diamond na Alikiba umepamba moto baada ya diamond kuimba mashairi yalioonesha wazi yana mshana Mpinzani wake katika Game ya Bongo Fleva Ali Kiba.
Hatimaye Kiba ametumia Twitter kujibu diss hiyo:
No comments:
Post a Comment