Post ya pili ya Ali Kiba baada ya kutoka wimbo wa Fid Q Fresh Remix aliomshirikisha Diamond Platnamz & Rayvany katika wimbo huo Diamond Platnamz mistari yake imeonekana kama imemdiss mpinzani wake katika Game ya Bongo Fleva Ali Kiba.
- Diamond Platnamz amchana Ali Kiba katika wimbo wa Fresh Remix
- Ali Kiba arudisha majibu kwa Diamond Platnamz.
Post ya Ali Kiba inayoonesha kuwa anajibu wazi Verse ya Diamond katika wimbo wa Fresh Remix wa Fid Q |
No comments:
Post a Comment