Monday, 21 August 2017

Msikilize Diamond Platnamz alivyomchana Ali Kiba katika wimbo wa Fresh Remix

Diamond Platnamz.

Msanii Nassib Abdul a.k.a Diamond Platnamz amemchana mpinzani wake katika game ya Bongo Fleva Tanzania katika wimbo alioshirikishwa na Msanii wa HipHop  Farid Kubanda a.k.a Fid Q katika wimbo wake wa FRESH Remix ambapo katika wimbo huo amemdisi Ali Kiba kwa kuimba mistari inayoonesha Moja kwa moja inaenda kwa mpizani wake huyo katika game ya bongo Fleva.

"kuni compare na Cindelera aiwezi kuwa Fresh "
"siwalitaka kiti nimewapa hadi kitanda wakalale" .Hiyo ni sehemu ya mistari iliyoimbwa Kwa mtindo wa kurapu na Diamond katika wimbo huo wa FRESH Remix

Ali kiba aliwai kusikika akisema amerudi kufuta vumbi kiti chake katika muziki wa bongo Fleva baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu bila kutoa wimbo.
ALI KIBA

DOWNLOAD

No comments:

Post a Comment