MBUNGE wa Kibamba, John Mnyika amesema taarifa kwamba amejiuzulu nafasi ya Naibu Katibu Mkuu wa Chadema – Bara hazina ukweli wowote, ni za uzushi na za kutungwa.
Mnyika ambaye amekuwa akitajwa tajwa kwamba atakihama chama hicho, ametoa kauli hiyo baada ya kuwapo taarifa kwamba amejiuzulu wadhifa huo.
Taarifa hizo za Mnyika kujiuzulu zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii jana Jumanne, Desemba 5,2017 jioni ambapo Mnyika alikanusha na kusema, ‘’Si kweli ni taarifa za uongo.’’
TAARIFA ILIYOSAMBAA MITANDAONI
No comments:
Post a Comment