Tuesday, 5 December 2017

Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi Uso kwa Uso na Tundu Lissu.

RAIS Mstaafu wa awamu ya pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi leo Desemba 5, 2017 amtembelea Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) na Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika, Tundu Lissu katika Hospitali ya Nairobi anakotibiwa baada kushambuliwa kwa risasi nyumbani kwake Area D, Mjini Dodoma.


No comments:

Post a Comment