Tuesday 23 January 2018

Alexis Sanchez avunja rekodi kwa kiwango cha mshahara Man United.

He also insisted to supporters that he is willing to 'fit in anywhere' across United's front-line

Baada ya mshambuliaji Alexis Sanchez kukamilisha uhamisho wake kujiunga na Man United.

Sanchez, 29, anakuwa na mshahara mkubwa zaidi katika kikosi cha Man United inafikia pauni 600,000 kwa wiki. Yaani £350,000 ni mshahara, £100,000 ni haki ya picha na £144,000 bonas.

Kama ni mshahara pekee bila vitu vingine, bado yeye anaongoza.


WANAOONGOZA KWA MSHAHARA MAN UNITED NA MAN CITY
Sanchez spoke at how he is determined to win every trophy during his time at Old Trafford

Sanchez: £350,000. 
Paul Pogba - £290,000, 
Romelu Lukaku - £250,000 
Zlatan Ibrahimovic - £220,000

Manchester City:
Sergio Aguero na Yaya Toure -£220,000.

HAKI YA PICHA - £100,000(KWA WIKI)

BONAS-£144,000 (KWA WIKI)





No comments:

Post a Comment