Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salam za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Meja Jenerali Mstaafu, Salum Kijuu kufuatia vifo vya watu 11 waliofariki dunia ajarini baada ya gari lao kugongana na lori lililokuwa likivuta tela, jana Jumapili.
No comments:
Post a Comment