Tayari Emerson ameanguka wino kuichezea Chelsea kwa miaka minne na nusu.
Chelsea imemwaka kitita cha pauni million 17.5 kumpata beki huyo huku ikiwa na moango wa kuachana na David Luiz.
Luiz raia wa Brazil anaonekana kutokuwa katika maelewano mazuri na Kocha Antonio Conte aliyeamua kumsajili Emerson ambaye pia ni raia wa Brazil.
Emerson Palmieri akiwa na Mkurugenzi wa Chelsea Marina Granovskaia. |
No comments:
Post a Comment