Mholanzi wa anayeinoa Singida United Hans Van Der Pluijm ameitazama Simba SC msimu huu kisha akajikuta anashauri wekundu hao wa msimbazi kama vipi wapewe tu ubingwa wa Ligi kuu Tanzania Bara VPL2017-2018 Kwani awakamatiki kamwe.
Simba ambayo kwa sasa inanolewa na mfaransa Piere Lechantre akisaidia na Mosoud Djuma .
"Kwa mtazamo wangu niwe mkweli kabisa Simba wataibuka mabingwa wa Ligi kuu msimu huu wana Timu imara iliyo chini ya benchi bora la ufundi" alisema Pluijm.
No comments:
Post a Comment