Friday 9 February 2018

Iyanya aweka wazi Kuondoka katika Label ya Mavin Records ya Don Jazzy.

Image result for iyanya
Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Iyanya Onoyom Mbuk Maarufu kama Iyanya  amethibitisha kutokuwa tena chini ya lebo ya Mavin Records inayosimamiwa na Don Jazzy.


Akiongea na kituo cha radio cha Beat FM, msanii huyo ameeleza kuwa kwa sasa hayupo tena katika lebo hiyo na hakuna mgogoro uliopo kati yake na Don Jazzy.

Image result for iyanya in Beat FM
“I’m now signed to Temple Music but I’m a Mavin for life. It was not a beef. I was there and it was time to move on,” ameeleza Iyanya.
Kwa sasa msanii huyo anatamba na ngoma yake mpya iitwayo Good vibe aliyowashirikisha Team Salut kutokea Uingereza

No comments:

Post a Comment