Tuesday 13 February 2018

Mwanasheria mkuu wa Kenya Profesa Githu Muigai atangaza kuachia ngazi.

Image result for Profesa Githu Muigai
Mwanasheria mkuu wa Kenya Profesa Githu Muigai amejiuzulu baada ya kuhudumu kwa miaka sita na nusu.

Rais Uhuru Kenyatta amemshukuru Profesa Githu kwa huduma zake na sasa jaji Paul Kihara Kariuki atachukua mahala pake.

Ujumbe wa rais Uhuru Kenyatta aktika mtandao wa TwitterHaki miliki ya picha
Image captionUjumbe wa rais Uhuru Kenyatta aktika mtandao wa Twitter

''Nimepokea kwa majuto uamuzi wa mwanasheria mkuu Githu Muigai . Namshukuru kwa huduma yake katika kipindi cha miaka sita na nusu. Nimemteua jaji Paul Kiharara Kariuk''i , Rais Uhuru Kenyatta alichapisha katika mtandao wake wa Twitter.

No comments:

Post a Comment