Tuesday, 13 February 2018

Sababu ya Nyota huyu kustaafu soka katika Umri mdogo.

Mason emerged through Tottenham's youth academy before moving to Hull in 2016
Mason akiwa katika academi ya vijana ya  Tottenham kabla ya kujiunga na  Hull City 2016
Kiungo wa kati wa klabu ya Hull City nchini Uingereza Ryan Mason amelazimika kustaafu akiwa na umri wa miaka 26 kufuatia jeraha la fuvu la kichwa alilopata katika mechi dhidi ya Chelsea 2017.

Mason ambaye aliichezea Uingereza mara moja 2015 alilazimika kufanyiwa upasuaji baada ya kichwa chake kugongana na kile cha beki wa Chelsea Gary Cahill.
Mason sustained the injury in an accidental collision with Chelsea defender Gary Cahill
Uamuzi wake wa kustaafu unafuatia ushauri wa madaktari wa upasuaji wa neva.
Ryan Mason akibebwa katika machelaHaki miliki ya Image caption
Ryan Mason akibebwa katika machela
Alianza kushiriki katika kandanda na klabu ya Tottenham na kujiunga na klabu ya Hull kwa dau la uhamisho £13m lililovunja rekodi katika klabu hiyo 2016.
a mechi ya ligi ya Uingereza iliopigwa katika uwanja wa Stamford Bridge mwezi Januari 2016, Mason aliwekewa hewa alipobebwa katika machela na kutolewa uwanjani.
Mason ambaye aliichezea Uingereza mara moja 2015 alilazimika kufanyiwa upasuaji baada ya kichwa chake kugongana na kile cha beki wa Chelsea Gary Cahill.Haki miliki ya picha
Image captionMason ambaye aliichezea Uingereza mara moja 2015 alilazimika kufanyiwa upasuaji baada ya kichwa chake kugongana na kile cha beki wa Chelsea Gary Cahill.
Alifanyiwa upasuaji katika hospitali ya St Mary mjini London , ambapo alikaa kwa wiki moja na amezungumza kuhusu kuwa na bahati ya kuwa hai.
On New Year's Eve, Mason shared a picture of the huge scar he was left with on his head 
Mason alianza mazoezi na klabu hiyo tena mwezi Mei mwaka uliopita lakini hakuna tarehe ya yeye kurudi iliotolewa na baadaye mkufunzi wa klabu hiyo Leonid Slutsky alisema mwezi Agosti mwaka uliopita swali sio kuhusu soka bali kuhusu maisha yake wakati mchezaji huyo alipokutana na mtaalam wa tatu.
Ryan Mason has retired from football after fracturing his skull in January 2017
Klabu ya hull City imewashukuru wale wote waliomsaidia kupona katika kipindi cha miezi 12 iliopita.


No comments:

Post a Comment