Wednesday 19 February 2020

Muonekano wa Wema Sepetu wazua gumzo mitandaoni.



Msanii wa filamu na Miss Tanzania mwaka 2006 Wema Sepetu, amezua gumzo mitandaoni baada ya kupost picha kwenye ukurasa wake wa Instagram ikimuonyesha mwili wake kuonekana kuzidi kupungua, Wema Sepetu ambae aliamua kupunguza mwili wake kwa madai ya kuwa unamnyima raha hasa katika kazi zake za kisanaa.


 Katika mahojiano aliyoyafanya kupita App yake ya Wemapp alisema, ameamua kupunguza mwili wake kwa sababu ulikua unamletea shida sana hasa kwa upande wa filamu kuna mavazi alikua hawezi kuyavaa na kuna baadhi ya Scenes zilikuwa zinampa shida kuigiza kulingana na mwili aliokuwa nao kipindi cha mwanzo.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Wema aliamua kupost picha akiwa na wadada wengine wawili akiambatanisha na ujumbe kuwa “Alhamdulillah Rest Easy kaka” picha hii ilimuonyesha akiwa ametoka kwenye msiba wa kaka ake anaeitwa Mkusa Sepetu, ambaye alikuwa Jaji wa Mahakama kuu Zanzibar ambaye alipoteza maisha asubuhi ya Feb 16, 2020.




  
☆Unaitaji kununua nyumba,Gari,viwanja au kupangisha nyumba ,kuuza nyumba ,magari ,Viwanja
☆Hunaitaji Frem Bora ya kifanyia Biashara
☆Hunatafuta nyumba za kupanga kwa gharama nafuu?
Basi  Huitaji kupata shida jibu ni moja tu @dalalinyota ndio mtatuzi wa mahitaji yako yote.


Kwa Nyumba Bora ,Frem za Bora za Biashara ,Viwanja,Nyumba za kupanga,kuuza/kununua Nyumba,Magari,viwanja
Wasiliana na Dalali Muaminifu mjini
FOLLOW @dalalinyota @dalalinyota
PIGA 0758306396
           0654412744.

No comments:

Post a Comment