Monday 2 March 2020

JOHN BOCCO ATOA SIRI YA USHINDI WA SIMBA

 
JOHN Bocco, nahodha wa Simba amesema kuwa wanawashukuru mashabiki kwa sapoti yao kwani inawapa nguvu ya kupata matokeo kwenye mechi wanazocheza ndani ya Ligi Kuu Bara.


Simba jana ilishinda mbele ya KMC mabao 2-0 na kuifanya isepe na pointi tatu kwenye mchezo huo wa kwanza mwezi Machi, Mosi.
 
Bocco amesema:"Kikubwa ni sapoti ambayo tunapata kutoka kwa mashabiki inatupa nguvu na kutufanya tupambane kupata matokeo, kazi bado inaendelea," amesema.
Simba imefikisha jumla ya pointi 65 ikiwa kileleni baada ya kucheza mechi 25.

 ☆Unaitaji kununua nyumba,Gari,viwanja au kupangisha nyumba ,kuuza nyumba ,magari ,Viwanja
☆Hunaitaji Frem Bora ya kifanyia Biashara
☆Hunatafuta nyumba za kupanga kwa gharama nafuu?
Basi  Huitaji kupata shida jibu ni moja tu @dalalinyota ndio mtatuzi wa mahitaji yako yote.
Kwa Nyumba Bora ,Frem za Bora za Biashara ,Viwanja,Nyumba za kupanga,kuuza/kununua Nyumba,Magari,viwanja
Wasiliana na Dalali Muaminifu mjini
FOLLOW @dalalinyota @dalalinyota
PIGA 0758306396
           0654412744.

No comments:

Post a Comment