Monday 17 August 2020

RATIBA YA LIGI KUU TANZANIA BARA KUANZA RASMI SEPTEMBA.

 

Ligi kuu ya soka Tanzania Bara msimu wa 2020/21

itaanza rasmi Septemba 6, 2020 na kumalizika Mei

5,2021 ambapo Bingwa Mtetezi Simba itacheza


mechi ya kwanza dhidi ya Ihefu FC

Mechi ya kwanza ya watani wa jadi, Yanga Vs Simba

itapigwa Jumapili Oktoba 18, 2020 Saa 11:00 jioni

katika uwanja wa Mkapa, jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment