Thursday, 19 November 2015

Kassimu Majariwa apendekezwa kuwa waziri mkuu wa awamu ya Tano

 
Rais JOHN MAGUFULI amempendekeza mbunge wa Ruangwa KASSIM MAJALIWA Kuwa waziri mkuu na kuliomba Bunge kulidhibitisha jina hilo kwa kupiga kura ili aweze kupitishwa na kuwa waziri mkuu .


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiXjo3HQPXm8sCe9Z5WJ0qgBKRQcDipEzPx5mSsWtEis1xrXKK1qWGkRQuGaZnfzJmI5PBopDF4h8Rs4BC8TIx7dY0GwGPk1vScJTQuDug5aQYuGwTKIeKB_wZP0WoVaQV7YDWzLLDpAet0/s1600/c3.jpg
                     Kassimu Majariwa
Sughuli ya bunge kupiga kura ya kumuidhinisha Waziri Mkuu inatarajiwa kufanyika muda mfupi baada ya jina hilo kutangazwa

Katika mkutano huo wa kwanza wa bunge la kumi na moja utamchagua Naibu wa Spika nafasi ambayo inashindaniwa na dakta TULIA MWANSASU kutoka Chama cha Mapinduzi atakaye shindana na MAGDALENA SAKAYA kutoka chama cha CUF akiwakilisha muungano wa vyama  vinavyounda UKAWA

No comments:

Post a Comment