Thursday, 21 April 2016

Dar es salaam:Vijana wengi kukosa ajira

Afisa vijana katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Zefania Masawida amesema kuwa ofisi yake anahimiza vijana wa Mkoa wa Dar es salaam kuhamasika zaidi kujiajiri kuliko kusubiri kuajiriwa kwani kwa hivi sasa nafasi za ajira zinazopatikana nchini haziendani na mahitaji halisi ya ajira zinazohitajika.

Ametoa kauli hiyo alipokuwa akiongea na East Africa Radio na kubainisha kuwa changamoto ya ajira inazidi kuongezeka mbali na seriakali kujitahidi kuopna wanalkabiliana na changamoto hiyo, hivyo kwa wakati huu ni bora vijana wakageukia fursa za kujiajiri.

Afisa vijana katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Zefania Masawida amesema kuwa ofisi yake anahimiza vijana wa Mkoa wa Dar es salaam kuhamasika zaidi kujiajiri kuliko kusubiri kuajiriwa kwani kwa hivi ssa nafasi za ajira zinazopatikana nchini haziendani na mahitaji halisi ya ajira zinazohitajika.
Ametoa kauli hiyo alipokuwa akiongea na East Africa Radio na kubainisha kuwa changamoto ya ajira inazidi kuongezeka mbali na seriakali kujitahidi kuopna wanalkabiliana na changamoto hiyo, hivyo kwa wakati huu ni bora vijana wakageukia fursa za kujiajiri.
Takwimu zinaonesha kuwa vijana zaidi ya milioni moja wanatafuta ajira kila mwaka lakini ajira zinazopatikana ni elfu 50 pekee, huku vyuo vingi vikizalisha wahiotimu ambao wanalenga kwenda kuajiliwa.

No comments:

Post a Comment