Saturday, 23 April 2016

Mpango wa manispaa ya Ilala kukarabati maeneo ya biashara huu hapa

Mkuu wa wilaya ya Ilala Bw Raymond Mushi amesema kuwa wanaendelea na mpango maalum wa kuboresha mazingira ya masoko ya kata zilizopo katika maeneo ya manispaa ya Ilala kwa lengo la kuwaondoa wafanyabiashara wanatandika bidhaa zao katika maeneo ya barabarani.

Bw Mushi ametoa kauli hiyo hii leo alipokutana na jumuhiya ya wafanyabiashaya wa tawi la kariakoo na kupokea vifaa 31 vya kuhifadhia uchafu kutoka kwa jumuhiya hiyo uchafu ambao kwa kiasi kikubwa unachangiwa na mkusanyiko mkubwa wa wafanyabiashara katika maeneo ya barabarani.

Mkuu wa wilaya ya Ilala Bw Raymond Mushi amesema kuwa wanaendelea na mpango maalum wa kuboresha mazingira ya masoko ya kata zilizopo katika maeneo ya manispaa ya Ilala kwa lengo la kuwaondoa wafanhyabiashara wanatandika bidhaa zao katika maeneo ya barabarani.
Bw Mushi ametoa kauli hiyo hii leo alipokutana na jumuhiya ya wafanyabiashaya wa tawi la kariakoo na kupokea vifaa 31 vya kuhifadhia uchafu kutoka kwa jumuhiya hiyo uchafu ambao kwa kiasi kikubwa unachangiwa na mkusanyiko mkubwa wa wafanyabiashara katika maeneo ya barabarani.
Aidha Bw Mushi ameongeza kuwa tabia ya usafi iwe ni ya kila mtu na si kuwaachia baadhi ya watu ili maeneo ya jiji hasa wilaya ya Ilala iweze kuwa wilaya ya mfano kwa usafi katika jiji la Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment