Klabu ya soka ya SpursTottenham wakicheza
ugenini katika dimba la Brittania wameibuka na ushindi wa kishindo wa
mabao 4-0 dhidi ya Stoke City.
Kwa ushindi huo Spurs wanafikisha alama 68 wakiwa wamecheza michezo 34, hivyo kupunguza pengo dhidi ya vinara Leicester City kufikia alama 5,huku wakiwa wanalingana michezo waliyocheza.
Mshambuliaji mahiri wa kikosi cha Spurs Harry Kane alianza kuzifumania nyavu katika dakika ya tisa ya mchezo, kisha kiungo Delle Ali akaongeza bao la pili katika dakika ya 67 kipindi cha pili.
Kane and Jan Vertonghen wakishangilia Goli
Katika dakika ya 71
Harry kane tena akawatungua Stoke City kabla ya Dele Ali kuhitimisha
ushindi huo kwa bao la nne katika dakika ya 82.
Mshambulia Harry Kane amefikisha idadi ya mabao 24 akifuatiwa na Jamie Vardy mwenye 22 huku Sergio Aguero akiwa na mabao 21.
Mshambulia Harry Kane amefikisha idadi ya mabao 24 akifuatiwa na Jamie Vardy mwenye 22 huku Sergio Aguero akiwa na mabao 21.
Stoke City (4-2-3-1):
Given
5; Cameron 5.5, Shawcross 5, Wollscheid 5, Muniesa 5; Whelan 6 (Adam
76mins, 6), Imbula 6.5; Shaqiri 6 (Joselu 46, 5), Afellay 6.5,
Arnautovic 6; Bojan 6.
Unused subs: Haugaard, Ireland, Diouf, Crouch.
Booked: Imbula, Adam.
Manager: Mark Hughes 5.
Tottenham (4-2-3-1):
Lloris
6.5; Walker 6, Alderweireld 7, Vertonghen 6.5, Rose; Dier 6.5, Dembele
7.5 (Mason 87); Lamela 6.5 (Son 90), Alli 7.5 (Chadli 84), Eriksen 6;
Kane 8.
Unused subs: Vorm, Trippier, Wimmer, Davies.
Goals: Kane 9, 71, Alli 67, 82
Manager: Mauricio Pochettino 8.
Referee: Neil Swarbrick 7
Man of the match: Harry Kane.
No comments:
Post a Comment