Thursday, 19 May 2016

Ndege ya Misri iliyokuwa ikitokea Paris kwenda Misri yapotea.



Vanished: EgyptAir flight MS804  heading from Paris to Cairo is believed to have crashed into the sea after disappearing from radar. There were 66 people on board the Airbus A320 (pictured) that vanished 40 minutes before it was set to land in Egypt early Thursday morningWaziri mkuu wa Misri Sherif Ismail amewasili uwanja wa ndege wa Cairo, pamoja na ndugu wa abiria waliokuwa kwenye ndege ya Misri MS804, iliyopotea kwenye radar na mpaka sasa bado haijulikani ilipo.




Vyombo vya habari vya Misri vimesema uwanja huo ndio ambao ndege hiyo ilipaswa kutua baada ya kutoka Paris nchini Ufaransa, kabla ya kupotea kwenye radar.

Ramani ya safari ya ndege
A radar map shows the plane's path travelling from Paris and then stopping in the Mediterranean Sea before reaching Cairo, where it lost contact with air traffic control 
Mpaka sasa abiria waliothibitishwa kuwepo kwenye ndege hiyo ni 56, watoto watatu na wahudumu 10, na kufanya idadi kamili kuwa watu 66.
Relatives of passengers on the missing EgyptAir flight break down as they console each other at Cairo International Airport in Egypt
ndugu wa abiria waliokuwemo kwenye ndege

Tayari meli za jeshi la Misri zimeshaingia katika kuanza kutafuta ndege hiyo kwenye bahari ya Mediterranean, wakishirikiana na jeshi la Ugiriki.

Habari kutoka nchini humo zinasema ndege hiyo ilifanya mawasiliano na radar dakika 10, kabla ya kupoteza mawasiliano na kupotea.
Abiria waliokuwemo ndani : 
  • 30 Egyptians
  • 15 French
  • 1 British
  • 1 Belgian
  • 1 Iraqi
  • 1 Kuwaiti
  • 1 Saudi Arabian
  • 1 Chadian
  • 1 Portuguese
  • 1 Algerian
  • 1 Canadian

No comments:

Post a Comment