Saturday, 3 February 2018

Peter (Mr P) wa Psquare azidi kuonesha Maajabu na Uborawake.

Related image
Peter Okoye kutoka katika kundi la mapacha PSQUARE ambaye kwa sasa anafanya kazi peke yake akiwa anajiita MR P ameendelea kuonesha uwezo wake mkubwa wa kuimba na kutunga mashairi mazuri pasipo kuwa na kaka yake Paul Okoye ambaye walikuwa wakifanya kazi pamoja kama kundi la PSQUARE lililofanya vizuri kupitia kazi mazao tofauti zilizofanya vizuri Afrika na nje ya Afrika  kundi la PSQUARE.
 
Image result for psquare
Kabla ya kugombana mashabiki wengi wa muziki wao waliamini kuwa Paul Okoye ambaye kwa sasa anajiita Rude boy ndiye mwenye uwezo wa kuimba ila Peter Mr P ni mtu mwenye uwezo wa kucheza pekee na baada ya kuvunjika kwa kundi hilo wengi waliamini kuwa Peter awezi kuendelea kimuziki akiwa kama solo pasipo kuwa na Brother wake Paul.

Lakini tofauti na matarajio ya wengi Peter katika kazi zote alizotoa kama Solo Artist zimefanya vizuri zaidi kuliko zile alizotoa Brother wake Paul akiwa kama Solo Artist.
Image result for Mr P-My Way
Mpaka sasa Mr P ameachia kazi tatu ya Cool it Down,For My Head na hii mpya ya My Way uku Paul naye akiwa ameachia kazi mbili pekee ikiwa ni Fire na Nkejikeke.

Itazame Video mpya My Way From Mr P

No comments:

Post a Comment