Tuesday 18 February 2020

Sababu ya Katibu wa CHADEMA Dkt. Vicent Mashinji kuhamia CCM.



Aliyekuwa katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vicent Mashinji ametangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Februari 18, 2020. Mashinji ametangaza uamuzi huo katika ofisi ndogo za CCM, Lumunba jijini DSM na kupokelewa na Katibu Itikadi na Uenezi, Humprey Polepole.

 “Baada ya kutafakari mwenendo mzima wa siasa na uchumi nchini na kuangalia kina nani wako tayari nikaona kwa upande wetu Chadema bado tuko mbali sana kuchochea mambo haya ya maendeleo,”- Amesema Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Vincent Mashinji

No comments:

Post a Comment